
Best of Zanzibar Health and Education programs for 2017
Kampuni ya Pennyroyal kupitia mpango wake wa kusaidia jamii wa Best of Zanzibar ipo katika harakati za kuanzisha elimu za kimaendeleo kwa jamii za maeneno ya Kijini, Kigomani na Mbuyu Tende kwenye wilaya ya Kasikazini Unguja.
Ili kufahamu changamoto zinazowakabili wanajamii wa maeneo husika na kuweza kupata njia bora za kusaidia jamii hizo, mwaka 2016 mwezi wa nane, Best of Zanzibar ilifanya utafiti kwenye vijiji vya Kijini na Mbuyu Tende na kuandaa mipango bora ya kusaidi wananichi wa vijiji hivyo na njia bora za kutunza mazingira.
Utafiti huo ulioongozwa na Bi. Biubwa Ally Hamad ambae ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Zanzibar ( SUZA) kutoka idara ya Afya ya Mazingira. Bi. Biubwa alifanya kazi kwa kusaidiana na wasaidizi watano kutoka Chuoni hapo na waliweza kutembelea nyumba 100 ndani ya siku 10. Utafiti huu ulifanikiwa vizuri zaidi kutoka na ushirikiano mzuri na msaada tuliupata kutoka kwa Mkuu wa Wilaya na Shehia wa Kijini na Mbuyu Tende.
Majibu/Matokeo ya utafiti yalichambuliwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Takwimu na Huduma za Teknolojia Bw. Ali Idrisa Shante.
Best of Zanzibar imeandaa mpango mkakati mzuri na endelevu wa kujua na kutambua changamoto na mahitaji mbali mbali ya wanavijiji hao kupitia vikao vya wanakijiji pamoja na wawakilishi ambavyo vitakuwa ikifanyika kila mwezi.
Best of Zanzibar ina mpango wa kuanzisha huduma mbili kwa jamii hizo mwanzoni mwa 2017. Huduma ya kwanza italenga kwenye maswala ya afya,usafi wa mazingira na upatikanaji wa maji safi na salama. Kapumi ya Best of Zanzibar imemwajiri Afisa Afya Bi. Nahya Khamis kutoka Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA).
Bi. Nahya yuko kwenye maandalizi ya kutekeleza elimu ya afya na usafi wa mazingira ambayo itawalenga wanafunzi wa shule za awali ( primary) na sekondari, pia kwenye kliniki za kina mama,na makundi mbali mbali kwenye jamii pamoja na viongozi wa vijiji. Awamu hii ya kwanza itahusisha kufanya kazi na vikundi vya kina mama na kuwapa mafunzo ya kutengeneza sabuni na kuhakikisha sabuni hizo zinatumika katika jamii husika.. Hapo mbeleni zoezi hili litaendelea na awamu ya ujenzi wa vyoo na kuhakikisha kuna upatikanaji wa maji safi na salama.

Nahya Khamis, Best of Zanzibar First Official Health Officer
Huduma ya pili ni elimu ya Hisabati na Lugha ya Kingereza ambayo itaanzishwa miezi ya karibuni. Walengwa ni wanafunzi wa darasa na 5 na 6 na wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha nne. Ilikuwezesha huduma hii, walimu wa Ki Zanzibari walio bobea wataajiriwa kuwafundisha wanafunzi hao na kulipwa na Best of Zanzibar. Wizara ya Elimu ya Zanzibar ndiyo watahusika na kuandaa mtaala wa masomo hayo.
Kwa habari zaidi ya maendeleo ya huduma hizo tembelea tovuti ya Best of Zanzibar.

Kijini, Mbuyu Tende and Kigomani community representatives meet with Pennyroyal and Best of Zanzibar partners, and Ministry of Educations’ Director of Primary/Pre-Primary, Bi Safia Rijal, at Kijini School (Wednesday January 25, 2017)
_____________
Pennyroyal’s Best of Zanzibar has been working hard to establish multi- lateral community development programs, ready to launch in early 2017, for Kijini, Kigomani and Mbuyu Tende in District North A of Unguja.
In August 2016, Best of Zanzibar initiated a Baseline Survey of both Kijini and Mbuyu Tende communities in order to determine the area’s primary challenges, which would help Best of Zanzibar prepare effective CSR programs to suit the people, environment and communities.
The Baseline survey was led by Head Research Madam Biubwa Ally Hamad, Lecturer at the State University of Zanzibar (SUZA) in the Department of Environmental Health. Madam Biubwa worked with 5 research assistants from SUZA to administer the survey to 100 households, in which the Head of House was interviewed, over a period of 10 days. This research was carried out in conjunction with village representatives, Shehias and the District Commissioner of North A.
The data was analysed by the Baseline research team with help from Ali Idrisa Shante, Acting Director in the Department of Statistical and Technical Support Services at the Office of the Chief Government Statistician. The Baseline Study results, in conjunction with information about villagers needs collected at monthly community meetings, Best of Zanzibar will introduce two programs in early 2017.
The first program focuses on matters of health, sanitation and hygiene, including access to clean water sources. Best of Zanzibar has hired its first Health Officer, Nahya Khamis, from the State University of Zanzibar (SUZA). Nahya is in the planning and preparations stages for the implementation of a Health Education Program, which will teach students at Primary and Secondary schools, as well Shehias and village leaders, mothers at the Clinic and various community based groups about safe hygiene practices. This is stage one of the program, working with local women’s groups to make soap, and ensure soap is available to communities. Future stages in the Health and Hygiene program includes community toilets, and access to clean water and new washing pits.
The second program to be introduced in the next few months is the English & Maths tutoring program for Standard V- VI students, all the way up to Form IV. The program will hire, qualified Zanzibar teachers to tutor students outside of school hours in three schools in the district. The curriculum is being developed by the Ministry of Education, and Best of Zanzibar will support resources and teacher’s salaries.
Details on the launch and progress of both programs, and others, will be shared on the Best of Zanzibar Webpage Blog Space, and the Best of Zanzibar Facebook page.
0
Leave a Reply