
There is an increasing amount of financial wealth in Africa from foreign direct investments (FDI). This in-flow of foreign investment into Africa has had a significant impact on the Tanzanian economy over the last 10 years – a trend that is expected to continue (UNCTAD 2005).
One such up-coming investment in the East African Communities includes Pennyroyal (Gibraltar) Ltd’s Zanzibar Amber Resort (ZAR) in Unguja North – an initial proposed development investment in excess of 1billion USD. A foreign investment of this scale is anticipated to positively impact Zanzibar’s current economic conditions in a number of ways.

Successful economies leads to improves wellbeing for societies
To ensure Zanzibar communities benefit directly from the large-scale ZAR development, Pennyroyal (Gibraltar) Ltd has a specifically dedicated Corporate Social Responsibility (CSR) Initiative called Best of Zanzibar, committed to building sustainable and empowered communities in Zanzibar. This includes establishing local operations to interact with the local economy by building production facilities, facilitating local supply chains and providing many local employment opportunities.

Life in Zanzibar can improve with a strong economy
At the macro-economic level, such foreign direct investment will have a positive impact on travel and tourism capital investments, additional tax revenues and economic growth, and new opportunities to integrate into global economic networks for further growth and development within the host country. In particular, Pennyroyal (Gibraltar) Ltd will facilitate infrastructure development for rural villages in District North A including a 10km road, providing water and electrical services, and building police stations for the communities.

Pennyroyal (Gibraltar) Ltd Infrastructural Investment
The micro-economic scale benefits include higher productivity through new investment in physical and human capital; increased employment opportunities, enhanced management and associated trainings; the transfers of technologies; and the bolstering of local supply and distribution chains.

Provision of Resources
___________________________________
Kwenye miaka ya karibuni barani Afrika, kumekua na ongezeko kubwa la kiuchumi kutokana na uwekezaji wa kigeni. Uwekezaji huu wa kigeni kwa Afrika, umechangia kikubwa katika ukuaji wa uchumi wa Tanzania ndani ya miaka 10 na ukuwaji huu unategemea kuendelea.
Miongoni mwa wawekezaji hao ni kampuni ya Pennyroyal (Gibraltar) Zanzibar Ltd inayojenga Zanzibar Amber Resort kaskazini Unguja, ujenzi huo utagharimu bilioni 1 za Kimarekani. Uwekezaji wa ukubwa huu unategemea kubadilisha na kuboresha uchumi wa Zanzibar kwa mamna mbali mbali.
Kuhakikisha kwamba jamii inafaidika moja kwa moja kupitia mradi huu wa Zanzibar Amber Resort, Pennyroyal (Gibraltar) Zanzibar Ltd imeweka kitengo maalum kwa ajili ya maswala ya kusaidia na kuelimesha jamii inayojulikana kama Best of Zanzibar. Kitengo cha Best of Zanzibar iknashirikiana na serikali, viongozi wa jamii hizo, pamoja na vikundi mbali mbali kupitia programu za elimu, ujasiriamali kwa kina mama na vijana, elimu ya afya na usafi wa mazigira ili kuwezesha ajira na ukuwaji wa uchumi katika jamii na Zanzibar kwa ujumla. Mradi huu pia unategemeia kufanya biashara na wajasiriamali wadogo wadogo ili waweze kuleta bidhaa zao katika mradi wa Zanzibar Amber Resort.
Kwa upande wa uchumi wa Zanzibar, mradi huo unategemea kuona ongezeko kubwa la watalii kisiwani hapo, kuongezeka mapato kupitia ulipaji wa kodi, ongezeko la fedha za kigeni na itasaidia kuongezeka kwa uchumi wa nchi. Vile vile mradi wa Pennyroyal Gibraltar) Zanzibar Ltd umejenga barabara ya 10km, ujenzi wa vituo vya polisi, kufikisha maji na umeme katika vijiji vya Unguja, wilaya ya Kaskazini A.
Best of Zanzibar inategemea wananchi wanaozungukwa na mradi huu kufaidika kiuchumi, na kupata elimu ya teknolojia mbali mbali zitakazo waongezea ujuzi katika fani zao.
0
Leave a Reply