Best of Zanzibar kwa ajili ya Zanzibar Amber na Wajibu wake kwa Jamii
Maendeleo Endelevu ya Jamii

NUKUU


  • “Tunauchukulia (Wajibu wa Kijamii)kwa umakini mkubwa sana na tunatambua si jambo rahisi kulifanya. Tunafahamu kwamba tumekuja mahali ambapo tunahitajika kujifunza juu ya mazingira na watu…Tunapata hitaji letu, lakini tunaifadhili jamii kwa mahitaji yake”.

    Brian Thomson
    Mmiliki na Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resorts
    -
    Imeripotiwa kwa gazeti la The Citizen (28.10.2016)

Utafiti

Kufanya kazi kama mwezeshaji kwenye utafiti huu wa msingi ilikuwa ni uzoefu mkubwa kwangu. Kwa upande mmoja, nilipata nafasi ya kushiriki moja kwa moja pamoja na jamii kutathmini kiwango chao cha ufahamu dhidi ya CRS na jinsi ambavyo wadau tofauti wanaweza kutimiza wajibu wao katika kuhakikisha kwamba wawekezaji wanawajibika kijamii ndani ya eneo wanalotendea kazi. Kwa upande mwingine, nimejifunza ujuzi tofauti wa usimamizi wa kiutawala ambao unaendana na kazi yangu niliyonayo sasa. Utafiti ni muhimu sana katika kutathmini hadhi ya maisha watu wanayoishi na changamoto zinazokabili jamii hizi ambazo mipango ya Wajibu wa Kijamii ya ZAR inaweza kuishughulikia ili kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na kuboresha maendeleo ya watu.

– Biubwa Ally, Profesa wa Afya ya Mazingira, Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA)
MRATIBU MKUU WA UTAFITI

Soma Zaidi

Zanzibar Amber Resorts

Matamanio ya kiujumla ya kimaendeleo ya Zanzibar Amber Resorts ni kujenga Fukwe tegemezi kabisa za likizo zenye ubora wa hali ya juu, Matumbawe, Gofu na Hoteli za Mapumziko mathalani ya zozote zile popote pale duniani, zilizoundwa kwa vigezo visivyoleta athari kwa mazingira, zenye vigezo stahiki vya utunzaji mazingira, na kuzingatia mbinu za ujenzi asilia, kutoa vivutio vya likizo vyenye ubora wa hali ya juu na huduma za kisasa pamoja na shughuli za aina mbali mbali na malazi , kuivutia idadi kubwa ya wageni kutoka pande zote za dunia.

Soma Zaidi

Video

THE POTTER ENTERS THE PALACE

SITI BINTI SAAD

The Taarab Queen

Nasra Mohamed Hilal

Download